MKUU WA WILAYA SENGEREMA MH;EMMANUEL KIPOLE LEO SAA MBILI
ASUBUHI, AMEZINDUA ZOEZI LA UPANDAJI
MITI WILAYANI HUMO KATIKA KATA YA IBISABAGENI ZOEZI LILILOUZULIWA NA BAADHI YA
VIONGOZI NA WANANCHI KATIKA KATA HIYO AMBAPO ZAIDI YA MITI 132
JEH SOKO NA SHULE TUANZE NA KIPI? bila shaka utakuwa unajiuliza shwali hili linaingiaje? Basi fuatilia kile kinachosimuliwa kwenye video.
JEH SOKO NA SHULE TUANZE NA KIPI? bila shaka utakuwa unajiuliza shwali hili linaingiaje? Basi fuatilia kile kinachosimuliwa kwenye video.
Akizungumza na wananchi wa kata hiyo mh EMMANUEL KIPOLE
Amewataka kuendelea na utuzaji wa
mazingira na kuahidi kutatua changamoto ya ujenzi wa soko iliyodumu zaidi ya
miaka 32 sanjali na hayo ametoa lai kwa
wananchi kushirika katika shughuli za maendeleo yakiwemo madawati.
Kwaupande wake
mwenyekiti wa mtaa wa IBISABAGENI amesema kuwa miti hiyo imenunuliwa kwa
michango ya wananchi waliojitolea kwa hiyali bila kulazimishwa ikiwa na garama
ya shilingi 40,000/=
Wakitoa maonyao baadhi ya wananchi walioshiriki katika zoezi
hilo wao wamesema kuwa miti hiyo itawasaidia kuboresha mazingira na kuahidi
kuitunza na kuilinda kwakuwa ni kwa faida yao wenyewe
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.