Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza zoezi la kupiga mnada magari yaliyoingizwa kinyamela nchini bila kulipiwa kodi.
Hivi karibuni TRA waliangaza muda wowote kuanzia januari itaanza kupiga mnada magari zaidi ya 300.
Akizungumza Kwaniaba ya TRA, Scholastika Kavela ambye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa TRA wa ukusanyaji madeni ya wakwepa kodi na wadaiwa sugu kampuni ya Yono, imekamata Magari hayo na kwamba kwa mujibu wa sheria katika kipindi cha siku 14 wadaiwa wakishindwa kulipa yatapigwa mnada.
Zoezi ambalo tayari limeanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.