Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika
mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na
Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji
wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na
Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya
Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo pichani).Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
Waziri
wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya
Burundi, Pascal Barandagiye, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi
wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni
ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakimbizi
wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma
wakinyoosha mikono juu baada ya kuulizwa wangapi wanataka kurudi nchini kwao na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), katika
mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi ya naibu waziri kukagua zoezi la
urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya
Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya
Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakipiga ngoma baada ya kuwasili katika
uwanja ulipofanyika mkutano wa hadhara uliowahusisha wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na
Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo lake ni kukagua zoezi la urejeshwaji
wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya
Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya
Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakiagana baada ya kumaliza kuzungumza na
wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika
kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo lake ni kukagua
zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara yaMambo ya Ndani
ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza na wakimbizi
wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma,
baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua
zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.