Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoani Mwanza Disemba 2 imewakamata wajumbe wanne wa mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi kwa tuhuma za kupokea rushwa katika uchaguzi wa viongozi wa CCM uliofanyika katika uwanja vya Kirumba jijini Mwanza.
Kura zilipigwa hapa...
Mmoja kati ya wajumbe wa mkutano akipiga kura katika uchaguzi CCM mkoa wa Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.