Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihimiza ulipaji wa kodi wapo wahujumu uchumi na wanaotumia vibaya Sera ya Tanzania ya viwanda.
Kupitia oparesheni iliyofanyika nyakati za usiku, Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kubaini Kiwanda cha pombe bandia, watuhumiwa wa 4 huku wengine idadi isiyojulikana wakifanikiwa kutoroka.
Licha ya kiwanda hicho kutokuwa na leseni pia boksi za kutosha za stika za Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA zimenaswa kiwandani hapo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.