Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika
ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye
kiongozi halali wa nchi hiyo.
Jeshi hilo jana lilitangaza kuwa Mugabe na familia yake wako kwenye kizuizi cha nyumbani na kuongeza kuwa litawapandisha kizimbani wale liliowataja kama "wahalifu" waliomzunguka kiongozi huyo ambao wameisababishia nchi hiyo madhara na hasara za kiuchumi na kijamii.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.