ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 16, 2017

MKUU WA MKOA WA MWANZA AKAGUA UTEKELEZWAJI AHADI ZA MELI ZA MAGUFULI KWA USAFIRI KANDA YA ZIWA NA NCHI JIRANI


Ili kuondokana na adha ya usafiri, Serikali imeanza ukarabati wa Meli ya Mv. Clarius iliokuwa imesitisha huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo kwa zaidi ya miaka 10 bila kutoa huduma hiyo kwa wananchi wa Wilaya ya ukerewe mkoani Mwanza wanaozungukwa na ziwa Victoria. 

Akizungumza mara baada ya kukagua meli hiyo na nyingine zilizopo katika bandari ya Mwanza kusini, Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, amesema kukamilika kwa ukarabati wa meli hiyo na nyingine zilizopo katika mpango wa ukarabati utasaidia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa uchumi .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.