SHULE ya Wasichana Bwiru iliyopo Jijini Mwanza imezindua kiwanda chake cha mfano, fuatilia hafla ya uzinduzi huo ambayo imefanyika tarehe 27 Nov 2017 wilayani Ilemela, ikiwa ni sehemu ya “Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia” ambayo huadhimishwa kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Disemba 10.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt. Angelina Mabula ndiye aliyekata utepe wa uzinduzi wa kiwanda hicho chenye simulizi ya yenye kufariji kwani imeonekana kuwa dira na chachu kwa Serikali ya Viwanda katika zama zijazo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.