ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 9, 2017

CHRISTIAN BELLA, PAM D NA NEDY MUSIC WATUA MWANZA KWAAJILI YA SHOW YAOMTU 3 NGOMA 3


Wasanii Christian Bella, Pam D pamoja na Nedy Music tayari wametua jijini Mwanza kwaajili ya kuangusha showmoja matata iitwayo MTU 3 NGOMA 3.

HII hupaswi kuikosa ijumaa ya tarehe 10 November 2017

Ungana na mtangazaji wako Mansour Jumanne aakifanya mahojiano na wakali hao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.