Baada ya majina yote ya wagombea nafasi ya U-enyekiti yaliyorudi baada ya kupitishwa kuchinjiwa baharini saa chache kabla ya uchaguzi na kutokea bonge moja la seleka ukumbini, usiku wa saa nne na dakika 25 matokeo yanatangazwa na mwenyekiti wa Uchaguzi huo, uliohamishiwa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.