Photo 1
Photo 2
Mchora vibonzo Musa Ngarango aka “Masikio Mchongoko”, akilamba
ganda lake.
Photo 3
Mchora vibonzo chipukizi, Brenda Kibakaya alidhihirisha kuwa uchoraji
vibonzo si kwa wanaume tu.
Photo 4
Magret Liwembe akimkabidhi zawadi mgeni rasmi (karikacha cha
mke wa balozi iliyonakshiwa kwa saini za washiriki) kwa niaba ya washiriki
wenzake.
Photo 5
Mchora vibonzo Simon Regis akitoa neno la shukrani kabla ya
kukabidhiwa vyeti.
Photo 6
Baadhi ya karikacha zilizochorwa wakati wa mafunzo hayo.
Photo 7
Mwezeshaji na mwenyekiti wa NMF akiwa na washiriki wakati wa
mafunzo hayo kabla ya mgeni rasmi kuwasili. Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachora vibonzo wa “kizazi cha tatu,” yalijikiti
katika misingi ya uchoraji karikacha na katuni za maoni.
Photo 8
Picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.