SERENGETI BOYS YAPOKELEWA NA WAZIRI
MWAKYEMBE
Na Abog. JEMBE FM
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17
imetua leo nchini baada ya kuondolewa kwenye michuano ya AFCON U17 nchini Gabon
na kupokelewa na waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison
Mwakyembe kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es
salaam.
Msafara wa timu hiyo ulikuwa chini ya mjumbe wa
kamati ya Utendaji ya TFF Ayoub Nyenzi pamoja na benchi lote la ufundi
likiongozwa na kocha mkuu Bakari Shime maarufu Mchawi Mweusi.
Gsengo Blog ilifika uwanjani hapo na kukukusanyia
picha za matukio yote katika mapokezi hayo kama zinavyoonekana hapo chini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.