Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama, enzi za uhai wake alipata fursa ya kuainisha historia ya maisha ya utumishi
serikalini kupitia kitabu na mwandishi wa kitabu hicho ni Bwana Joseph Kahama
ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Royalty .
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment