Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph
Magufuli akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe
2380 katika mkutano huo Mkuu Maalum wa CCM uliokuwa na lengo kuu la
kufanya baadhi ya mabadiliko ndani ya Katiba ya chama hicho,ambapo
mabadiliko hayo yamepitishwa kwa asilimia 100 na wajumbe hao
waliohuhudria mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mambo
mbalimbali mbele ya wajumbe waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum
mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano mkuu Maalum wa CCM wakishangilia kwa
shangwe huku wakiwa na mabango yao yakionesha mikoa wanayoiwakilisha.
Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huo pamoja na wageni waalikwa wakiwa tayari ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph
Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho na Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete wakati akiwasili katika
ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM, Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph
Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM,Waziri
Mkuu Mh. Kasim Majaliwa wakati akiwasili katika ukumbi wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph
Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wastaafu wa Serikali na
kichama walipowasili kwenye ukumbi wa mkutano na kukaribishwa na
wajumbe.
Mabalozi na wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi
wakiwa wamehudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM,mjini Dodoma.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.