ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 2, 2017

DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA WA CUF NA UZINDUZI WAKE.

IDADI ya wasanii wakali kutoka Afrika watakao kwenda kutumbuiza shughuli za Utoaji wa tuzo za soka za CAF imetajwa na humo ndani ule moto unaoyetikisa katika zama hizi, muziki wa kisasa Diamond Platnumz, wengine ni Mnaijeria Flavor na mwaadada aliyetamba na ngoma ya Johnny, Yemi Alade will entertain guests at this year’s edition of the Glo CAF Awards set to hold in Abuja on January 5 2017.

Pia katika listi hiyo wapo wakali kutoka nchini Afrika ya Kusini walio juu kwenye chati busting electric soul singers Muffinz.

Wasanii wote hawa wataungana na mashambulizi hatari ya Dj Maarufu wa nchini Nigeria DJ Jimmy Jatt, anaye tarajiwa kugonga ngoma kali balaa huku akisapotiwa na mchekeshaji maarufu Gordons who will treat guests to good comedy at the “Meet and Greet session” and also during the awards gala.

Tayari Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa Instagram kathibitisha kuwa atakuwepo naye tayari kashapewa mualiko kuhudhuria, hata kuthubutu kuandika ujumbe wa kuwaomba wanaijeria kuchagua nyimbo wanazotaka kuzishuhudia kwenye jukwaa hilo.

Globacom said an exciting and interesting night awaits guests at the 2016 Glo CAF Awards. The 2016 Glo –CAF Awards will be transmitted live between 8.15 pm and 12.am on Supersport Channel 4 (204), SS 9 (209) and on GOTV.
CAF Most Promising Talent of the Year
YearPlayer NameNational Team
2015Etebo OghenekaroNigeria
2014Yacine BrahimiAlgeria
2013Kelechi IheanachoNigeria
2012Mohamed SalahEgypt

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.