Usimikaji wa nguzo mihimili kwa daraja hilo ndiyo umekula muda mrefu tofauti na kazi iliyosalia ya sasa kusimika vyuma vya uundaji daraja.
| Hii ndiyo taswira inavyotafutwa. |
Ujenzi huo unakwenda sanjari na upanuzi wa barabara ya Furahisha hadi Pasiansi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment