ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 28, 2016

SIKIA HII:- DALALI ALIYETUMIWA NA NHC KUMUONDOA MBOWE MAJENGO YA SERIKALI HAJASAJILIWA.

Mahakama Kuu imekana kuitambua kampuni ya Fosters Auctioneers and General Traders iliyohusika kuondoa vitu vya kampuni za Freeman Mbowe kwenye jengo la Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).

Inadaiwa dalali aliyetumiwa na NHC kuziondoa kampuni za Mbowe katika jengo hilo hajasajiliwa na Mahakama.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.