Mkuu wa wilaya mpya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella leo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi |
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi Mwanaisha Rajabu akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martne Shigella |
Add caption |
Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdallah Issa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga leo. |
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella |
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Robert Gabriel akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella anayeshuhudia kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said. |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga katikati akiwa picha ya pamoja na wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga leo mara baada ya kuwaapisha |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.