Rais John Magufuli amtembelea na kumjulia hali makamo wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Maalim Seif katika hotel ya Serena jijini Dar es salaam ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment