"Upanuzi huu umetokana na mafanikiomakubwa yaliyopatikana katika majaribio ya awali ya utoaji huduma ya 4G jijini Dar es salaam kuanzia mapema mwaka jana". amesema Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa, Ally Maswanya. (kulia), akiwa na Meneja wa 4G Benedict Mponzi.
Card ya 4G ambayo kila mteja wa Tigo atakaye taka kuifaidi huduma hiyo atapaswa kubadilishiwa ile yake ya zamani na kuipata hii yenye vihusishi vya teknolojia hiyo ya kisasa na yenye kasi zaidi. |
Wanahabari kikazi zaidi. |
Wateja wote wa Tigo 4G LTE watanufaika na promosheni: Kila atakapoongeza salio la shilingi elfu moja au zaidi atapata MB 500 bure kama bonasi.
Wanahabari walipata wasaa wa kuuliza maswali. |
Edgar Mapande Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa. |
Kulia ni Edgar Mapande ambaye ni Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa akijibu maswali kusanyikoni, pembeni yake Mkurugenzi wa Tigo Kanda Ally Maswanya. |
Jiografia ya kusanyiko hilo. |
Tigo. |
Na vipi muda wa kuhama hasa ukizingatia wingi wa wateja ninyi kama Tigo mtawezaje kuwamudu kwa kasi inayohitajika hamuonikwamba huu utakuwa usumbufu mpya kwa wateja wenu?BOFYA PLAY KUSIKILIZA MAJIBU.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.