ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 28, 2015

HUU HAPA UAMUZI WA LOWASSA KUJIUNGA UKAWA KATIKA VIDEO.

Mh.Lowassa asema safari yake ya matumaini bado inaendelea kupitia umoja wa katiba ya wananchi huku akitanabaisha mambo kadha wa kadha.Mh. Lowassa ajibu maswali ya waandishi mbalimbali walio hudhuria mkutano huo huku akieleza masuala mbalimbali ikiwemo hofu ya kulipiza kisasi. Mh. Edward Lowassa akana tuhuma za ufisadi wa RICHMOND, asema amechoshwa na kelele hizo hivyo mwenye ushahidi apelike mahakamani.Mwakilishi wa CUF ampongeza Lowassa kuhamia upinzani kupitia Chadema huku akisema mwaka huu pata chimbika. Mh.Mbatia ampongeza Lowassa toka uvunguni mwa moyo wake huku akisema Tanzania bila CCM inawezekana.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.