MSIMU wa pili wa Kwetu House - “kwetu house, kipaji zaidi ya soka” shindano ambalo hujumuisha zaidi wapenzi wa soka wenye Kipaji, jumla ya mikoa sita (Arusha, Zanzibar, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Dar es Salaam) kutoa washiriki zaidi kwa ajili ya kunogesha na kuleta upinzani wa kutosha msimu huu mshindi ataondoka na kitita cha shilingi milioni 15, tofauti na msimu uliopita ambao ilikuwa Sh milioni 10.
Safari ya Kusaka Vipaji kwa Mashabiki wa Kweli wa Soka inatia nanga Dar es Salaam Msimu huu wa Pili ni siku Mbili za Kuonyesha Kipaji kwa Wakazi wa Jiji Kubwa la Dar es Salaam. Tarehe 6 na 7 Mwezi wa 8 Kwenye Uwanja wa Taifa Temeke.Uwe ni Mwigizaji,Mchekeshaji,Mchoraji,Mtangazaji wa Radio/Tv,Mbunifu wa Mavazi,Mwimbaji kazi ni kwako KWETU HOUSE 2015 Msimu wa Pili ni VIPAJI NA SOKA.
Washiriki wa Kwetu House 2015 Msimu wa pili kutoka Arusha, Zanzibar na Dodoma,Mbeya, Mwanza wataungana na Washiriki kutoka Dar es Salaam kushindania Milioni 15.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.