Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi. |
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole. |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi . |
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole. |
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo. |
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole. |
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.