ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 6, 2015

MILANGO YA JELA YAKARIBISHA WALIOKUWA MAWAZIRI NCHINI TANZANIA


‪#‎HABARIZILIZOTUFIKIA‬:Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Bazil Mramba,na aliyekuwa waziri wa zamani wa madini na nishati, Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.