ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 28, 2015

DILL DONE: LOWASSA SASA RASMI CHADEMA

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu na aliyepata kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi, Edward Lowassa atangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapibnduzi (CCM) na kujiunga na Chama Kikuu cha Upinzani cha Chadema hii leo.
Lowassa ametangaza rasmi hii leo na kueleza namna mchakato mzima wa kumpata mgombea wa CCM ulivyo kuwa, akisema kuwa  hakuridhika nao huku akiutaja kuwa ulikuwa umegubikwa na mizengwe. 

Lowassa na mkewe wamekabidhiwa kadi zao za uanchama hii leo alasili mbele ya viongozi wa vyama vya upinzani vya CUF,NLD na NCCR Mageuzi na matangazo hayo yanaoneshwa moja kwa moja na Azam TV pamoja na ITV. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.