Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli akifafanua jambo wakati wa upimaji uzito kwa mabondia. |
Bondia Amir Shekhe akipima uzito kabla ya kushiliki mashindano ya meya cup yatakayoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata 15 temeke kulia ni Lemmy Ngabo. |
Bondia Titas kanje wa amana ilala akipima uzito kwa asjili ya kushiriki mashindano ya meya cup yanayoanza kesho katika umkumbi wa ccm kata ya 15 temeke jijini Dar es salaam. |
Mambondia wakipanga foleni kwa ajili ya kuonana na dokta kabla ya mpambano wa meya cup utakaoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata ya 15 temeke dar es salaaam. picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.