Na ALBERT G. SENGO
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa mara nyingine tena limetuma mtaalamu wake jijini Mwanza IAN MC LEMENTS, ili kuhakiki na hatimaye kukusanya ripoti ya mwisho kwa Uwanja wa Nyamagana kabla ya maboresho hatimaye zoezi la uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja huo kuanza mapema mwezi June.

Hatua hiyo ni moja ya maandalizi ya mwisho ya kuanza kwa zoezi hilo la uwekaji nyasi bandia kwenye uwanja huo ambao mikakati yake ilianza miaka minne iliyopita.
Awali mpango huo ulichelewa kutokana na uongozi wa Manispaa ya Jiji la Mwanza ambao ndiyo wamiliki wa uwanja huo, kusuasua kutoa kiasi cha dola 118,000 (Sh milioni 295) kama mchango wake kwa ajili ya zoezi hilo ambalo linatarajiwa kugharimu dola 618,000 (Sh milioni 988), ambapo kiasi kingine cha fedha hizo kilitolewa na Fifa, lakini kwa sasa Halmashauri ya Jiji la Mwanza imekwisha mchango wake.
Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Jackson Songora ambaye alimwongoza mtaalamu huyo kuchukuwa data zake, anazungumzia project hiyo... BOFYA PLAY KUMSIKILIZA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.