ZIRO - Tokomeza maambukizi mapya ya VVU kwa mtoto. |
Waandamanaji waliojitokeza kuchagiza mpango huo. |
Wadau toka kada zote wamejitokeza kusapoti mpango huu. |
Mkurugenzi Mtendaji wa CSSC Peter Maduki akitoa ufafanuzi. |
Emmanuel Lesilwa ni Mtaalamu Mshauri wa Maabara hapa akitoa ufafanuzi juu ya kifaa kinacho beba sample (vipimo) chenye uwezo wa kupima sample 38 ndani ya nusu saa na sample za watu 200 kwa siku. |
Ally Rubisha ni Mtaalamu wa Maabara hapa akichukuwa sample kwaajili ya upimaji. |
Baadhi ya wakazi wa jiji la mwanza wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kupima maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi, katika viwanja vya Hospitali ya Mkoa Sekoutoure. |
Mmoja kati ya wakazi wa jiji la Mwanza (Kushoto) akipima afya kwa wataalamu wa Afya ili kujua kama ameambukizwa au hajaambukizwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi. |
Wadau wasimamizi wa mpango wa ZIRO. |
Meya wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata (mwenye tai katikati) akiwa na wadau wa mradi wa ZIRO wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi huo. |
Kwaya uhamasishaji. |
Wadau wa Mpango wa ZIRO wakisherehekea uzinduzi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.