Alfajiri hii ajali imetokea ikikusisha magari matano katika eneo la Miseyu baada ya Mikese kuelekea mpakani mwa Pwani na Morogoro. Chanzo cha ajali hiyo kinatajwa kuwa ni dereva wa roli la Nyanya aliyekuwa mbele kusinzia huku akiendesha gari.
Magari matano kwa pamoja yakiwa kwenye msafara mrefu wa malori yamekumbwa na ajali hiyo baada ya kutokea kasoro kwa moja ya magari hayo. Trafiki takriban sita wako eneo la tukio uchunguzi unaendelea kung'amua makosa zaidi yaliyo sababisha ajali hiyo.
Ni magari yenye bidhaa mbalimbali tofauti tofauti.
KHADIJA SAID ANG’ARA WIKI YA JUMUIYA YA WAZAZI DAR
-
*Leo, Jumamosi ya tarehe 09 Mei 2026, Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es
Salaam imefanikiwa kufanya Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Jumuiya ya
Wazazi Mkoa...
0 comments:
Post a Comment