| Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign , Fazal Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi Wote kutoka OXFAM. |
| Meneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo. |
| Marc Wegerif economic justice Campaign Manager kutoka OXFAM akizungumzia juu za ya haki za wanawake katika kumiliki Ardhi na kuitumia ipasavyo kuzalisha Chakula , pamoja na umuhimu wa Bima ya Mazao. |
| Fazal Issa Afisa Miradi kutoka OXFAM akizungumzia juu ya Magonjwa ya mazao pamoja na upatikanaji wa chakula ili kuweza kupunguza maswala ya njaa ambayo ni Tatizo kwa Jamii. |
| Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa Habari na kuelezea Mikakati pamoja na mipango Endelevu ya OXFAM. |
| Mmoja wa waandishi wa Habari Dotto Kahindi akiuliza swali wakati wa Mkutano huo mfupi. |
| Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wanafuatilia kwa makini kikao hicho. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment