![]() |
Igizo lililo sisimua toka kwao BABATAN. |
![]() |
Joseph Sayayi naye alikiri kumwachisha mwanae shule na kumwozesha kutokana na kutojua umuhimu wa elimu kwani naye hakusoma. |
![]() |
Hakika wananchi wa kijiji hiki walivutiwa sana na masomo na ushauri uliokuwa ukitolewa na timu Caravan Route. |
![]() |
Barabara ilikuwa haionekani...Hata hivyo daadaye safari iliendelea...kukifikia kijiji kingine kujionea changamoto...ITAENDELEA. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.