![]() |
Eneo la bustani kwa nyuma lenye bar ya nguvu litakalokupa nafasi kufaidi upepo mwanana wa Ziwa Victoria. |
![]() |
Muonekano wa mbele ya Green Palm Hotel iliyopo Bwiru Place karibu na Chuo Cha Mipango Mwanza. |
![]() |
Kitanda cha moja ya vyumba. |
![]() |
Kitandana sofa zake. |
![]() |
Chumba kingine. |
![]() |
Muonekano wa chumba namba 206. |
![]() |
Yep... |
![]() |
Kutoka koridoni... |
![]() |
Kuna ukumbi mdogo wa mikutano hotelini hapa. |
![]() |
Reception. |
![]() |
Bonge la coach barazani.. |
![]() |
Kaunta ya nje bustanini. |
![]() |
The bar. |
![]() |
Pic...one |
![]() |
Bustani ambayo usiku maandari hubadilika na kuvutia zaidi kutokana na taa zilizopachikwa hapa na huo mjengo mweupe ni jiko la vyakuchoma na kubanika.. |
Tupe maoni yako
tupe bei watu tukapige usiku mmoja
ReplyDelete