Bango hili lipo kwenye kiunga cha uuzaji magazeti makutano ya barabara ya Kenyata na barabara ya Posta jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa wakala wa mauzo ya wanyama hao, kutokana na matunzo na gharama za afya zilizozingatiwa katika malezi na ukuaji wa wanyama hao hadi kufikia hapa, bei ya chini kwa mbwa mmoja ni kuanzia shilingi za Kitanzania milioni moja laki mbili.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.