Ni fasheni ambayo ipo kwa muda mrefu sasa na imekuja juu mara baada ya Makala kuhusiana na mtindo huo mpya kuonyeshawa kupitia Chanel ya National Geographical ya nchini Japan ndipo hamasa ya wengi ikazidi. |
Ilikuupata mtuno Unachomwa sindano yenye dawa (injecting saline) kwenye paji la uso ikiwa imeungangishwa na drip inayofunguliwa taratiiiibu isilete madhara..... |
Mtuno unaendelea kujaaa.. |
Mtuno ukishajaa unauwezo wa kuuremba unavyotaka bila bila kupata maumivu... |
Dekshia mambozZ. |
Watu wanapenda kuwa exceptional aka kuwa na udiferenti... |
Donati usoni likikolezwa... |
Wanachoma sindano yenye dawa cc400 ili kutengeneza mtuno wa duara, mtuno ukishajitokeza unatumia dole gumba kutengeneza mashimo (kama inavyokuwa kwa wavimbao miguu lakini hapa mbonyeo hudumu hadi mwisho) |
Fasheni hii inadumu kwa muda wa saa 16 hadi 24 kurejea katika hali ya kawaida. |
Mituno na mibonyeo ya dole gumba mara baada ya huduma. |
Fasheni ndani ya kumbi za burudani wabongo mUpO?. |
Tupe maoni yako
Duh! huko hapana hata kwa mihela kiasi gani sikubali ngóooooo!!!
ReplyDelete