Hivi ndivyo hali inavyoonekana katika kituo cha mabasi ya mikoani mkoani Mara mjini Musoma, kipindi hiki cha mvua ni full tope unachagua pa kukanyaga mura' |
Kituo hiki hakina eneo maalum kwa abiria kujikinga au kujisitiri na jua au mvua. |
Hali kama inavyoonekana. |
Njia kuu ya kuingia kituo cha mabasi Musoma mkoani Mara. |
Lango kuu kuingia kituo hicho cha mabasi ya mikoani. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.