Ni hali tulivu na mishemishe za kuhesabu katika barabara ya Posta jijini Mwanza ndani ya msimu huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni jana usiku majira ya saa 1:45. |
Pembezoni mwa kingo kuelekea eneo la mataa barabara ya Nyerere nakutana na viumbe hawa wakiwa wametandazwa chini wakiuzwa. |
Wengine tundikoni. |
Chekshia kwa face.. |
Mdau akajichukulia mzigo... Swali ni jeh umegundua chochote. |
Mwanza hotel ground flow. |
Geti kuu la Mz Hotel kuelekea Pizeria . |
Tupe maoni yako
oyaa kitu gani tena cha kugundua?
ReplyDeletePicha zimenifanya nivute pumzi ndefu baada ya kuangalia mandhari za home! mdau asante sana kwa blog yako kweli inatufanya tuwe karibu na nyumbani. Nilichogundua ni kwamba mitaa iko "deserted" wanasema wazungu, mitaa ni mikavu haina watu na hii ni kutokana na picha zenyewe kupigwa 1.45 jioni wakati huu ni mwezi ramadhan wenzetu waislam wanapa futuru kwahio mishe kidogo zinapungua. Nashangaa hata "watoto wa wakoma" (watoto wanaoishi katika mazingira magumu) siwaoni!!
ReplyDelete