Mario Balotelli jana alifunga magoli mawili ya kupendeza mno na kuiwezesha timu yake ya Italia kuishangaza Ujerumani kwa kuifunga magoli 2-1 katika nusu fainali ya Euro 2012, na nafasi ya kucheza mechi ya fainali mjini Kiev dhidi ya Uhispania.
Akihojiwa mara baada ya mchezo huo.
Kwa mujibu wa mchambuzi wa soka nchini Tanzania Shaffi Dauda anasema kuwa "Kwa kuangalia rekodi yao nzuri kwenye EURO 2012 watu wengi waliamini kuwa Ujerumani wangekuwa na kazi rahisi ya kuwaondoa Waitaliano kwenye mchezo huo wa nusu fainali"
"Mario Baloteli amewafanya watu wengi jana kukosea utabiri wao na sasa Wajerumani na mashabiki wao wanajiuliza nini hasa kilichotokea" aliongeza Shaffi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.