Is it 'Selikali' or 'Serikali' any ways ujumbe umefika.
Jana ilikuwa siku ya ufunguzi wa maonyesho ya Serikali za Mitaa ambapo kitaifa yanafanyika katika jiji linaloongoza kwa usafi nchini (Mwanza), blogu hii ilishuhudia mabanda mbalimbali yakikamilishwa kwaajili ya kuwekwa bidhaa mbalimbali na huduma kwenye mabanda hayo hadi kufikia jioni ya siku ya jana jumapili shughuli na mapango mzima wa kusimika mabanda ulikuwa umekamilika hivyo wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria yanayojiri ndani ya maonyesho hayo Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.