Hatimaye kilio cha wengi cha kuondoshwa kwa dampo lililokuwepo katika kituo finyu cha daladala (express) jijini Mwanza kimesikika kwa dampo hilo kuondoshwa rasmi na mahala hapo kuwa wazi.kipindi cha nyuma wakati uongozi wa Halmashauri ya jiji ukituzinguwa kufanya maamuzi, kituo hiki kilikuwa kero si kwa abiria tu walio kuwa either wakipita au kusubiri usafiri katika eneo hili bali ilikuwa dhahama zaidi kwa wafanyabiashara wenye maduka walio kandokano mwa eneo hili vilevile hatari kiafya kupitia wafanyabiashara wa vyakula na wenye mabucha.
Kama ni jina lishapatikana lakini twasema "....kwaheri Dampo.....!!!!!"
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment