ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 8, 2012

KWAHERI BITE MUNGU AMERUHUSU HILI LITOKEE

Beatrice Kwacha 16/12/1988-03/01/2012.

Mwili wa marehemu Beatrice Kwacha ukiwasili makaburini kwa mazishi leo alasili katika makaburi ya Kaangaye jijini Mwanza.

Mwili wa marehemu Beatrice Kwacha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha SAUT Mwanza, aliyefariki kwa ajali ya gari akitokea mkoani Arusha ukishushwa katika nyumba yake ya milele.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. may the your soul rest in peace beatrice

    ReplyDelete
  2. will miss you beatrice.may your soul rest in peace

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.