Jumla ya kwaya zipatazo 24 zilikusanyika katika viwanja vya Kanisa la Aic Makongoro kutoa sapoti kwenye uzinduzi huo.
Aic Nyamanoro Choir wakimleta 'mwali' (album yao ya kwanza)
Kwaya zote alikwa zilifanya kweli kwenye suala la mwonekano.
Mgeni rasmi Mr. Renatus Nyimbile akijibu risala iliyotolewa na wanakwaya wa Aic Nyamanoro Choir.
Wananchi wenzetu.
Wageni waalikwa Mr&Mrs Dokta Mti Mkavu wakiinunua Audio Cd.
Wanakwaya wa Aic Nyamanoro wakimpepea mgeni rasmi Mr. Nyimbile mara baada ya kuinunua nakala ya kwanza ya album 'Sema Nami' kwa fedha za Kitanzania shilingi milioni 1.2 pamoja na ahadi ya dola 1,000 za Kimarekani.
Mgeni rasmi Mr. Renatus Nyimbile akikabidhi michango iliyokusanywa kupitia mnada wa album mpya ya Aic Nyamanoro Choir ambapo jumla ya shilingi milioni 8,318,500 zilipatikana.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.