Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopangwa wakati alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho.
Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa.
Jengo la abiria kwa mbali toka barabara ya ndege.
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja.
Picha zote na: www.latestnewstz.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.