Jukwaa la show kali ya kwanza ya Fiesta 2011 ambalo litatumiwa na mwanamuziki wa kimataifa Shaggy, sanjari na wasanii wengine maarufu hapa nchini Tanzania limeanza kufungwa leo rasmi katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ilikuwa ni majira ya saa 3 asubuhi nalo likifungwa hatua kwa hatua mpaka jioni hii. .
Wataalam wakiwa bize na ramani nzima vichwani mwao...
Mmm Eeeh baba!!
Umeme ni fulu hatukopeshi.
Live toka CCM Kirumba.
Ncha kali akihojiana na msanii chipukizi Ami Kiga aliyesafiri toka mkoani Morogoro hadi Mwanza kwa raslimali zake kwaajili tu! ya kuifuata Fiesta ya 10 na ya kwanza kwa mwaka huu 2011 tarehe 26juni.
Ncha kali, Zamaradi na Babra Hassan wakizijadili sms zilizotumwa na wasikilizaji kuhusu msanii huyo chipukizi ambapo... mwisho wa siku alifanikiwa kupata chansi kutinga fiesta, kutokana na sms za watu kumtaja kuwa anastahili.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment