Ilikuwa ni asubuhi ya jumapili ya tarehe 8/05/2011 ndipo mwenzetu ndugu yetu, dada yetu, maarufu kwa kifupisho cha jina la 'JETU' alipotutoka, huu ni msiba, hakika umeacha simanzi kwa familia yako na marafiki kwani utakumbukwa kwa ushiriki wako katika shida na raha, ucheshi na uchangamfu kwa kila aliyekusogelea. Pumzika kwa amani. Picha ya familia mara baada ya mazishi ya dada yetu 'JETU' yaliyofanyika jana tarehe 11/05/2011 katika makaburi ya Kitangiri, Bwiru jijini Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment