Mashindano ya Kamanda Sirro Cup yamemalizika rasmi leo katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa washindi kupatikana na kuzawadiwa pesa taslimu na vikombe.Kwa upande wa soka Makoroboi Fc wametawazwa rasmi kuwa mabingwa mara baada ya kuichapa timu ya Polisi kirumba bao 2-1.
Tedy Kankunda kutoka timu mabingwa wa netiboli ya Rock City ambaye ndiye fungaji bora katika netibali akipokea kombe la ushindi na fedha taslimu shilingi laki tatu kwa timu yake.
Katika michezo mingine Polisi Kirumba wamekuwa washindi mchezo wa bao, ubingwa katika Dats umekwenda kwao Kirumba Resort na mshindi katika mchezo wa pool table ni Sweya Benard wa Mapokezi.
Loreto Girls wamenyakuwa ndoo kama timu iliyoonyesha nidhamu upande wa netibali.
Tuzo ya timu yenye nidhamu katika soka ilikwenda kwao Lowjome Nyakato.
Mfungaji bora wa mashindano upande wa soka Bubelwa Magayana akikabidhiwa kikombe cha hadhi yake..
Barmedaz On Air.
Washindi wa pili katika netiboli katika mashindano ya Siro Cup, Kirumba Starehe na kombe lao.
Hawa ndiyo washindi wa tatu netibali timu ya Polisi Ilemela.
Chukua Mkwanja Wako Mapema Leo
-
HATIMAYE baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa na matokeo mengine
yakiwa yakustaajibisha, leo hii ni zamu tena ya wababe wengine kibao
uwanja...
PMT YASHIRIKI USAFI UFUKWE ZA DENGU
-
Na Eben-Ezery Mende
SHIRIKISHO la michezo ya Pentathlon Tanzania (PMT) limeshiriki utaratibu wa
kufanya usafii katika Fukwe za Dengu jijini Dar es Sa...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.