Leo ni Ijumaa Kuu, siku ambayo Bwana wetu Yesu Kristo alikufa msalabani kwa ajili yetu.Na haya ndiyo maandalizi: Mbuzi aliyenona kwaajili ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka.
WAKITOKA KANISANI LEO IBADA YA IJUMAA KUU. Sio kwenda kanisani au kuimba mapambio tu kwamba ndiko kutakompatia mwanadamu uzima wa milele bali matendo. Japo ni muhimu kujumuika na waumimni wenzetu makanisani,la muhimu zaidi ni kuishi kwa mfano wa Bwana Yesu ambaye licha ya upendo wake usiomithilika alikuwa tayari kufa msalabani kwa dhambi zetu ili atuletee ukombozi.
Wakati tovuti hii inakutakia wewe msomaji mpenda Ijumaa Kuu njema,siku hii inaweza kuadhimishwa ipasavyo kwa kutafakari kuhusu upendo wa Bwana,kujitoa kwake kwa ajili yetu na upendo kwa ujumla. Kama humpendi jirani yako unayemwona kila siku utakuwa mnafiki kudai unampenda Bwana mbaye hujawahi kumwona. Yesu ni upendo na amani.
WATANZANIA WATAKIWA KUULINDA MUUNGANO
-
*Na Oscar Assenga,TANGA*
*WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuenzi na kuulinda Muungano uliopo hapa
nchini ambayo ni tunu kubwa ilioachiwa na Waasisi wa Tai...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.