Hatimaye Marehemu Issa Hassan Mohamed al-maarufu kama Dj Summer Dee amezikwa leo majira ya saa 10:30 katika makaburi ya Mlango Mmoja wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza.Mwili wa marehemu ukitoka msikitini mara baada ya ibada ya alasili..
Mwili wa marehemu ukishuka kaburini eneo la makaburi ya mlango mmoja..
Maswahiba wakiwa katika kutafakari eneo la makaburi kwenye mazishi ya Summer Dee Kutoka kushoto ni Mr Mdau Mwanza, Iddi Baka Pandisha na kwambali Ally Coco na Eddy Grand...
Sala ya mwisho mbele ya kaburi la marehemu Issa Hassan Mohamed (Summer Dee) leo katika makaburi ya mlango mmoja jijini Mwanza.
Wakiwa nyumbani kwa kaka wa marehemu, Hawa ni baadhi ya marafiki wakuu wa marehemu kutoka kushoto Dj George, Ommy, Dj Curter, Prince Baina Kamukulu, Jacob Usungu na Frank Pangani. Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.