Alikuwa mwanamke aliyejenga ndoto za maisha na mchumba wake kwa matumaini na subira kubwa, akiamini ahadi walizoshirikiana zingefikia siku ya ndoa;
Hata hivyo ghafla alijikuta akiachwa bila maelezo ya kuridhisha huku yule aliyempa matumaini akigeuka na kwenda kumuoa mwanamke mwingine jambo lililomuacha na maumivu ya moyo maswali yasiyo na majibu na funzo zito kuhusu ukatili wa mapenzi na mabadiliko ya ghafla ya ahadi za binadamu.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment