NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Ni Maonesho ya 20 ya Biashara Afrika Mashariki yanayoendelea katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, na zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kufungwa rasmi, mwanahabari wetu George Kivumbi amezungumza na Afisa Habari kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bi. Christina Njovu, ambaye anaeleza fursa lukuki na faida zinazopatikana kwenye banda lao. Fuatilia..."Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment