NA ALBERT GSENGO/MWANZA
"Kupitia 'Jamii Portal' kila mwananchi anakuwa na urahisi wa kujuwa taarifa zake zimetumika wapi" "Jamii Portal ni application itakayo mruhusu kila mtu kuangalia taarifa zake zilitumika wapi, kwanini na jeh aliridhia au hakuridhia na kama taarifa zilitumika sehemu na hakuridhia basi atawasiliana na tume kutoa taarifa na hatua za kisheria kufuatwa ikiwa ni pamoja na uwajibishwaji" Dkt. Emmanuel Mkilia ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) ameyasema hayo wakati akifungua mkutano na semina ya Waandishi wa Habari jijini Mwanza ambapo tume hiyo imewaandalia ili kuwajengea uwezo juu ya majukumu ya tume hiyo nyeti.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.